Download Uwanja wa ndege wa Madeira wapewa jina la Cristiano Ronaldo Megaupload


uwanja_wa_ndege_wa_madeira_wapewa_jina_la_cristiano_ronaldo.zip
  DOWNLOAD THIS ALBUM

File download is hosted on Megaupload

Mchezaji wa klabu ya Real Madrid Ronaldo ambaye anaumri wa miaka 32, aliongoza taifa lake kushindwa ubingwa wa Ulaya mwaka jana.

 Ronaldo ambaye alizaliwa katika mji mkuu wa Madeira, Funchal na baadaye akachezea Sporting Lisbon na Manchester United.

 Ronaldo akizindua uwanja wa ndege ambao umepewa jina lake
Uwanja wa ndege wa Madeira sasa umepewa jina la Cristiano Ronaldo.
Baadhi ya wanasiasa wa eneo hilo wamepinga uamuzi wa kubadilisha jina la uwanja wa ndege wa Madeira kuwa Uwanja wa Ndege wa Cristiano Ronaldo.
“Wakati mwingine, shukrani za taifa huwa hazidumu sana, lakini Madeira haitasahau,” Miguel Albuquerque, rais wa serikali ya Madeira alitangaza, hatua ya kubadilisha jina la uwanja huo ilipotangazwa.


Rated 4.5/5 based on 531 customer reviews


Related Articles & Comments

Comments are closed.



punk bands tshirts punk bands tshirts

BUY PUNK BANDS MERCH




Punk Bands Merch ★ Free Worldwide Shipping